Dk Kimangale anakiri amewahi kutibu wagonjwa wa akili waliotokana na kubeti kupitia wale waliofanikiwa kubadili tabia ingawa kuna walioshindwa kukamilisha matibabu yao, hivyo hawezi kusema kwa sasa wanaendeleaje. Hii mashine unavyoiona wamiliki ni Wachina, nimeiweka hapa kwa ajili ya wateja wangu wa vinywaji, wakija hapa wengine wanapata kinywaji, wengine wanacheza https://tatoeba.org/vi/user/profile/kubetcomagency